Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
*Kinacho udhi kwenye kazi ya uwalimu ni pale unapo kuwa darasani unafundisha, anakuja mwalimu mwenzako anakuambia*
*KUMBE UPO PERIOD, endelea kwanza nitakuona baadae*
Haaaaaaa .... umepanicPeleka uongo wako huko
Hatuhitaji hasira pahala hapa!Tunatimiza wajibu wetu wa kuwafundisha lakini mnatafsiri kwa lugha na maana za kijinga!