Ualimu daraja la 3A

Suma mziwanda kageye

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2012
Posts
213
Reaction score
25
hiv kulingana na grade za matokeo ya mwaka huu,je nisifa gan wanazohitaji au mwisho div4 ya ngap kujiunga na na hvyo vyuo vya ualim wa primary either govt or private
 
kwa sasa hali ni tete! four mpaka ya 43?.. halafu zero ya 41?

ngoja waje wachambuzi mkuu!
 
hiv kulingana na grade za matokeo ya mwaka huu,je nisifa gan wanazohitaji au mwisho div4 ya ngap kujiunga na na hvyo vyuo vya ualim wa primary either govt or private

Imebaki pale pale points 27 ambayo kwa sasa ni three.
 
Hiz grade za mwaka huu znanchanganya sana. Kuna watu wana zero za 42 wakati wengine wana four za 42!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…