Ualimu Grade A 2014-2015

Ualimu Grade A 2014-2015

Tuwamoi

Member
Joined
May 10, 2014
Posts
18
Reaction score
2
ninaomba kujua kama wizara ya elimu imeshatoa majina ya wadogo zetu walioomba kujiunga na mafunzo ya ualimu Grade A mwezi may mwaka huu,
 
Ilishatoa ndgu yangu, c kama grade A ilivozoeleka zamani but ni diploma ya elimu ya awali.
 
Back
Top Bottom