T Tuwamoi Member Joined May 10, 2014 Posts 18 Reaction score 2 Oct 14, 2014 #1 ninaomba kujua kama wizara ya elimu imeshatoa majina ya wadogo zetu walioomba kujiunga na mafunzo ya ualimu Grade A mwezi may mwaka huu,
ninaomba kujua kama wizara ya elimu imeshatoa majina ya wadogo zetu walioomba kujiunga na mafunzo ya ualimu Grade A mwezi may mwaka huu,
The Teacher Senior Member Joined Feb 2, 2013 Posts 176 Reaction score 81 Oct 14, 2014 #2 Ilishatoa ndgu yangu, c kama grade A ilivozoeleka zamani but ni diploma ya elimu ya awali.
ENANTIOMER JF-Expert Member Joined Sep 22, 2014 Posts 1,419 Reaction score 804 Oct 14, 2014 #3 Tuwamoi said: ninaomba kujua kama wizara ya elimu imeshatoa majina ya wadogo zetu walioomba kujiunga na mafunzo ya ualimu Grade A mwezi may mwaka huu, Click to expand... Endelea kulala tu!
Tuwamoi said: ninaomba kujua kama wizara ya elimu imeshatoa majina ya wadogo zetu walioomba kujiunga na mafunzo ya ualimu Grade A mwezi may mwaka huu, Click to expand... Endelea kulala tu!
jennifer21 Member Joined Aug 18, 2013 Posts 21 Reaction score 0 Oct 15, 2014 #4 ENANTIOMER said: Endelea kulala tu! Click to expand... HAhahahaha!!!! Sent from iphone6