Walimu walikuwa na thamani zamani sio Sasa hivi.
Nyie ndo maroboti Yao kuifanikisha mipango Yao ya BAO la mkono.
Kuachia ajira Kwa maelfu hii miaka miwili ni Moja ya strategies zao.wanajua wanachofanya.
Maslahi duni,mishahara duni,mazingira ya kazi duni.badala muungane kutetea maslahi yenu kuonyesha thamani yenu mpo tu mmegeuka mazombi