Ualimu na hadhi yake

issa ramadhani

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2014
Posts
1,319
Reaction score
260
Kiukweli kutoka moyoni napenda kuwa mwalimu, kwanza ni watu wenye maadili pia ni watu wazuri sana katika kutoa maamuzi, ni watu ambao wwa waanaongozwa na busara kuanzia kwenye akili zao na hata mavazi na nyendo zao ni za kibusara.

Ni watu ambao ni ngumu sana kuingia kwenye vishawishi japokupo wachache kama pombe, madawa ya kulevya na kuingia kwenye majumba ya starehe.

Ni watu ambao wanamifumo mizuri sana ya uendeshaji wa Ndoa na familia zao.ni watu ambao wanajua kutumia njia mbadala baada ya kuona kama wamepatwa na matatizo wamejengewa roho ya uvumilivu na ustahimilivu katika nyoyo zao

.ni watu wasiopenda ugomvi,bifu na kuchukiana pasipo sababu.Ni watu wasio na tamaa za kijinga wala wivu wa kijinga kijinga.wanauwezo wa kuishi mahali popote.wanauwezo wa kuishi na mtu wa aina yoyote ile.ni watu ambao wametengenezwa wasiokuwa na mawazo ni watu ambao vifo vyao wamepangiwa kwenda peponi moja kwa moja.
 
issa ramadhani , umesikika , umeeleweka, Karibu kwenyentaaluma ya ualimu
 
Last edited by a moderator:

Hata doctors nao huwa wanasema haya.wewe kama umeridhika na taaluma yako tulia, usitake kupata huruma ya watu ili uonekane ni mtu mwema sana katika huu ulimwengu.
 

Mkuu, usiwe tu mwalimu wa lugha maana huu si uandishi.
 
Hata doctors nao huwa wanasema haya.wewe kama umeridhika na taaluma yako tulia, usitake kupata huruma ya watu ili uonekane ni mtu mwema sana katika huu ulimwengu.

Upo sahihi kabisa mkuu. Kila mmoja ana sababu zake za kwanini anaifanya kazi aliyonayo sasa. Zingine ni tabia binafsi tu anazozipata mtu kutokana na malezi/mazingira aliyopo.
 
Walimu ni noma,jamaa yng police kakataliwa na baba wa binti.Binti ktk kutaka kuolewa na haraka zake kapata mwalimu,baba mtu kasema hapo sawa.Walimu bwana!!!!!!
 

"you can not be a judge for your own cause"
 
Walimu ni watu wenye madeni mitaani na karibu kila taasisi ya kifedha,wasiojitambua,wanyonge,wanaotumiwa na CCM kusimamia uchaguzi na sensa ili watumike kuiba kula,watumishi pekee wanaoidai serikali pesa ndefu lkn imewazima waziwazi na WALIMU NI DARAJA LINALOPITISHA WAJANJA KWENDA KWE MAFANIKIO
 
du bahati mbaya ajira za ualimu zimefutwa,endelea tu na kazi yako la sivyo utaishia kijiweni.
 
H

hivi we unapoteza muda wako kuponda watu kwa chuki binafsi.umefundishwa kuandika na walimu sasa unaandika -----.we ndio hujitambui kabisa.unasema hawajitambui kwani wanajinyea? Kwenda huko! We hukopi? Si ajabu unadaiwa nusu kilo ya sukari dukani kwa mangi na njia umebadili.siku tukikutanaa! Mfyuuuu!
 
walimu wanaotuburuza no hawa was grade A yaani wanatumiwa na serikali ya CCM kama gari la taka hawajitambui na ndio wanaokwamisha kila kitu kwa kuibeba CWT sisi University Teachers hatutaki kuchangamana na hawa vilaza wanaosubiri madaraja ya mserereko pasipo kujiendeleza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…