Ualimu na mwajiri

Ualimu na mwajiri

kotinkarwak

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2010
Posts
376
Reaction score
115
Je, management ya mwalimu inafanywa na wizara ya elimu au pale wilayani? Nimefungua pdf ya waliochaguliwa 2011/12 na mwajiri inaonyeshwa kuwa ni either

MKURUGENZI MANISPAA,

MKURUGENZI MTENDAJI,

au KATIBU MKUU

Kwa anaye fahamu structure ya management please, nipe details.
Ninachojaribu kufahamu ni nani anayepaswa kum'manage mwajiriwa (mwalimu), na pesa za malipo yake tofauti tofauti yanatolewa na nani?

Thanks,
KK
 
Back
Top Bottom