π€£π ππ€£π4. Kusahihisha mtihani posho haizidi laki 5 hapa sasa ni kizaizai nusu afe mtu.
Ualimu ni laana, sio wito Wala kazi
Lofer kweli wewe, Kashifa gn apo zaidi ya ukweli mtupuModerator muangalie na nyuz za kashfa kam hizi, ni sawa na uzi unaokashfu dini, bila mwl wangu mimi nisngejua kuhesabu,kuandika nk. Futa uzi huu
Acha yafe tupole kwa waalimu
Mkuu tuheshimiane, mm sio mwalimuNashkur mpwayungu kashafika ....mtu mwenye career yake[emoji16]
Mwalimu mpwayungu village. Kuna mtu anasema umenyimwa kishkwambi nd'o maana unatoa povu sana dhidi ya Taaluma yako.Mkuu tuheshimiane, mm sio mwalimu
Aliondolewa kwenye ukuu wa Shule na akanyimwa dili la kusahihisha mtihani wa mock wilayaMwalimu mpwayungu village. Kuna mtu anasema umenyimwa kishkwambi nd'o maana unatoa povu sana dhidi ya Taaluma yako.
Naona juz mmemchukulia fomu mkuluMkuu tuheshimiane, mm sio mwalimu