Ualimu ni kazi kweli ila..........

Ualimu ni kazi kweli ila..........

yamoyoni mwangu

Senior Member
Joined
Oct 25, 2013
Posts
106
Reaction score
31
nipo moshi mjini vipi wenzangu ni mwalimu yupi unayemkumbuka shuleni sana enzi ukiwa sekondari? Na alifanya nini? Mimi pale anna mkapa namkumbuka nkya yaani...........simalizii.vipi rau,mji mpya,msaranga,j.k,kiboriloni na msasani tukumbushane.usiku mwema masela
 
nenda jukwaa la elimu.
 
Unadhalilisha watu wa moshi. Too idiotic
 
Hii inaonyesha viroba vinavyo fanya kazi.
 
Back
Top Bottom