nipo moshi mjini vipi wenzangu ni mwalimu yupi unayemkumbuka shuleni sana enzi ukiwa sekondari? Na alifanya nini? Mimi pale anna mkapa namkumbuka nkya yaani...........simalizii.vipi rau,mji mpya,msaranga,j.k,kiboriloni na msasani tukumbushane.usiku mwema masela