Mwalimu mgeni alichora moyo ubaon kwa vile hakuwa mchoraj mzuur mchoro ulionekana hovyo akawageukia wanafunzi akawaulza MWALIMU nani anajua nimechora nn!?! MWANAFUNZ 1: akasema umechora matako mwalim
MWANAFUNZ 2: (ni matako)
MWANAFUNZ 3: kweel n tako
Mwalimu akakasirika akaenda kushitak kwa mwalimu mkuu bas mwalm mkuu akaenda nae darasan MWALIMU MKUU. Mbona mnamdharau mwalimu!?! WANAFUNZ : hatujamdharau mwalimu...
MWALIMU MKUU: kama hamjamdharau nani kachora matako ubaoni!?!