Ualimu vs jkt

Ualimu vs jkt

nenda jkt hutajuta vumilia kama nyota utoke jioni jua likizama
 
lengo ni kuwa na future iliyo bora ukipata nafasi ya ualimu serikalini ni bora kwani unaweza kujiendeleza zaidi ukikosa baki jkt pia pia fursa kwa elimu yako ziko nyingi.
 
Inategemea wewe mwenyewe, JKT na JWTZ pia wana shule zao waweza fundisha huko hasa baada ya kuajiliwa.
 
Kama unauhakika jeshini utapata ajira, ni vema kubaki jeshi! Mkuu wewe na degree yako huko jeshn utalamba minyota kibao!
 
Back
Top Bottom