bulama
JF-Expert Member
- Dec 13, 2012
- 561
- 135
Kati ya kazi ambayo serikali kwa makusudi imeamua kuifanya ionekane ni ovyo ni ualimu. Haiwezekani walimu tu nchi hii ndo wenye madai mengi yasiyo lipika,mazingira magumu ya kufanyia kazi, kunyanyaswa na viongozi ikiwemo kucharazwa bakora na mengine mengi. Vipi kada nyingine mbona hamna shida kule. Kwa shida hizi zote za walimu tunategemea taifa liendelee kupitia elimu. Badala ya elimu kuendelea kuwa ufunguo wa maisha inakaribia kuwa kufuri la maisha. Maana hakuna mwalimu katika shida zote hizo hatakae fundisha kwa umakini tena.
Ni walimu hao wanafundisha wanasahihisha mitihani alafu waziri ambaye hata hajawahi kupita karibu na darasa yeye anongeza maksi na kufaulisha wasio kuwa na uwezo. Sasa kwanini kama huo uwezo upo kwanini walimu wanaendelea kuwa makazini.
Wazazi na walezi na watanzania kwa ujumla tunahitaji kufanya kitu ili taifa linalokaribia kujengwa na serikali yetu tulidhibiti kabla halijatengenezwa. Ni jana tu viongozi wa nchi walikuwa wanajisifia kwa maendeleo waliyoiletea nchi lakini kwa upande wa elimu jamani tunahitaji kuchukua hataua na kuacha kusikiliza ushenzi wanaotuambia kwenye majukwaa.
Najua ujumbe mtaupata wana JF,:lock1::lock1: ila ninahasira na inawezekana maelezo yangu yako disconnected.