Ualimu

fundicmu

Member
Joined
Mar 10, 2014
Posts
15
Reaction score
8
walimu hususan vyuoni wanapowaambia wanafunzi hususan freshers kuwa 'hili darasa mpo wengi mno inabidi mpungue ili kuwepo na hewa' na kuna wanaosemaga 'hii course hakuna anayeweza kupata A'
je lengo lao ni zuri kweli!?♥ na je wanatambua maana ya ualimu na madaraja yaliyowekwa!?
Im all eyes to hear from u Thinkers!♥
 

Ikitokea Serikali ikatangaza kunyongwa hadi kufa wote wanaopatikana na hatia ya kubaka, je utaogopa kama hujihusishi na hiyo tabia.?
In short kama upo serious unafanya kilichokupeleka chuoni huwezi ukambwela kwa hizi kauli za ma' Lecturer.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…