J C
JF-Expert Member
- Dec 12, 2013
- 3,061
- 2,541
julius Nyerere alikuwa mwl akaukimbia kuelekea siasa anafanyiwa, Rais John Magufuri alikuwa mwalimu akaukimbia kuelekea siasani ndio huyoo kaula, waziri mteuliwa Kasimu Majaliwa alikuwa mwalimu kaukimbia kafanikiwa. Cha ajabu hawa wote na waliotangulia hawakukumbuka walikotoka bali wanazidi kuwakandamiza wenzao ili nao watoke. Sara wewe ukumbatie ualimu uone ka utatoka. Utasubiri sana. Hivi mke wa mustafa amerudi kufundisha tena ama ndio kwaheri mwalimu?.