katika siku za karibuni tulikuwa ktka maongezi vijana wenzangu kadhaa me na ke mchanganyiko. Katika kuchangia mojawapo ya hoja nikasema "siwezi kuwa na nyumba ndogo wakati mke wangu nampenda na nimemchagua mwenyewe". Ajabu ni jinsi nilivyoshambuliwa na wasikiizaji wangu, (wenye ndoa na wasio na ndoa) kuonyesha kutokubaliana nami huku wakisema "unayasema kwa kuwa tu umeoa juzi".
Sasa naomba msaada wemu wadau, je, inawezekana kuwa na mwanandoa mwaminifu 100%? Na kama ndiyo, ni wangapi ktk 100?
Katika siku za karibuni tulikuwa ktka maongezi vijana wenzangu kadhaa me na ke mchanganyiko. Katika kuchangia mojawapo ya hoja nikasema "Siwezi kuwa na nyumba ndogo wakati mke wangu nampenda na nimemchagua mwenyewe". Ajabu ni jinsi nilivyoshambuliwa na wasikiizaji wangu, (wenye ndoa na wasio na ndoa) kuonyesha kutokubaliana nami huku wakisema "Unayasema kwa kuwa tu umeoa juzi".
Sasa naomba msaada wemu wadau, je, Inawezekana kuwa na mwanandoa mwaminifu 100%? Na kama ndiyo, ni wangapi ktk 100?
naunga mkono hoja!....Haiwezekani hata kidogo!:nono:
inawezekana san
kuna wanaume na wanawake ambao ni waaminifu sana
-kuiga ndo kunasumbua siku izi wanawake na wanaume wanaona kuswap nje ni km fashen vile usipokuwa na nyumba ndogo unaonekana km mshamba vile...
-UKIMCHAGUA EVA WAKO /ADAMU WAKO BILA SABABU ZA MATERIALS(ukimpata wa real love nawe ukampenda kwa dhat) BASI utaona anakutimizia maitaj yako yooooooooooote so haina haja tena ya kwenda nje
Wanawake wakianza kuvaa baibui na kuacha kuvaa vimini na tight trousers basi wanaume wengi hawatashawishika kirahisi kuchapa out
Wanaume wakijishughulisha saana katika kutafuta mshiko na kufanya mazoezi ya kutosha badala ya kukaa bar na kutandika kilaji baasi wanawake wengi hawata washawishi kirahisi
tunaomba uzoefu wako hapa ''praktikale''inawezekana
inawezekana
wapo
wapo
wapo
km haujawai ona bas pole
kuna watu si mapadre na wala si masista lakin wana ucha mungu+wanamuogopa mungu kiukweli so hawez akaitenda dhamb i
-kuna watu wanapendana kiukweli..na ukimpenda mtu kiukweli autopenda fanya lolote la kumuumiza (ATA KM HATOJUA KM UMESWAP NJE)..
WATU HAWA WAPO WAAMINIFUUUUUUUUUUUUUU MPK RAHA....
hahha hahha aya mamaHawezi kukutimizia yooote kwa wanadamu tumeumbwa na mapungufu...jamani wakitulia na wake zao akina mama kubwa sie soko litakufa
Hawezi kukutimizia yooote kwa wanadamu tumeumbwa na mapungufu...jamani wakitulia na wake zao akina mama kubwa sie soko litakufa
kumekucha!!!!!!tunaomba uzoefu wako hapa ''praktikale''
mambo ya KUNA WATU....!hatutaki
Katika siku za karibuni tulikuwa ktka maongezi vijana wenzangu kadhaa me na ke mchanganyiko. Katika kuchangia mojawapo ya hoja nikasema "Siwezi kuwa na nyumba ndogo wakati mke wangu nampenda na nimemchagua mwenyewe". Ajabu ni jinsi nilivyoshambuliwa na wasikiizaji wangu, (wenye ndoa na wasio na ndoa) kuonyesha kutokubaliana nami huku wakisema "Unayasema kwa kuwa tu umeoa juzi".
Sasa naomba msaada wemu wadau, je, Inawezekana kuwa na mwanandoa mwaminifu 100%? Na kama ndiyo, ni wangapi ktk 100?
Kwani wanaotoka nje ya ndo ni wanawake au? We hatauone nini kama mwaminifu utabaki hivyo tamaa kama ipo hata sabuni utatumia
sema ukweli bwana!....kumekucha!!!!!!
me n st roy!!!!!!
nimekujibu??????
roya ni towashi....!hawezi kuoaawe na ndoa ngap jaman?
ni mimi na yeye tu ndo tuna ndoa
ivi tulisahau kukupa kad eennh
mweee tusamehe
dig dig mwenzako alkuja...ajakupa salam?