Uaminifu ndani ya ndoa

umbe

New Member
Joined
Mar 26, 2012
Posts
1
Reaction score
2
Jamani nimekuwa nikijiuliza mambo mengi juu ya wanandoa wengi kukosa uaminifu kwa wenza wao siku hizi, swala la msingi ninalojiuliza ni nini chanzo? wengi mtaniambia ni kupata ladha tofauti, oh wa kwangu ana mapungufu haya na yale ndo maana nikatoka. Sasa je kama huko unakokimbilia ni vile vile utaendelea kubadilisha hadi lini? Sababu as far as Iam concerned hamna malaika yaani, usitegemee mwenza wako awe as perfect as an Angel, mambo ni kurekebisahana na kufundishana, huko unakokimmbilia nao ni binadamu na wana mapungufu yao.
 
Mtu yeyote anayekosa uaminifu kwenye ndoa huyo ni muhuni tu na wala hana la kujitetea..
 
wengi wao ni kama kumpigia mbuzi gitaa, sijuwi imekuwaje?
 
hata mimi nafikiri wanandoa wawe wanarekebishana kulikon kutoka nje ya ndoa zao.
hii kitu huwa inauma sana hasa pale upande mmoja unapogundua kuwa kuna usaliti
 
Yani inauma........hakuna la zaidi mtu analopata kwa kuvunja uaminifu,starehe zote ni za muda mfupi..na mambo yanarudi tena kule kule,cha msingi ni kuwa muwazi kwa mwenza wako kwa mapungufu yanapojitokeza pamoja na msaada wa maombi kwa nguvu ya Mungu naamini mambo yataenda sawa.
Dunia ya sasa imekuwa inamatatizo mengi sana ya ndoa,kutoka nje ya ndoa imekuwa fashion si kwa wanawake wala wanaume,kila binadamu ana mapungufu yake hivyo kuvunja ukimya ni swala la maana na sio kukomoana kwa kutoka nje,kumbukeni HIV AIDS na pia tumuogope Mungu..Laiti Mungu angekuwa anatoa adhabu pale pale kwenye tukio...
 
mhh aya tumewasikia...dawa ninin sasa ukigundua pakamweusi wako anatoka nje?:rolleyez:
 
Usishangae kuona watu wanakimbia vitamu, sio kila kwenye utamu basi hakuna madhara.

Si unajua vya nyumbani huwa vitamu sana, ukivila sana unaweza ukavimaliza vyote.

Sasa kwenda nje nikubadilisha tu test ya vitamu, kwenda kula visio vitamu sana.
 
...................................................................
 
HAkuna any justification ya kuvunja uaminifu ndani ya ndoa yako wajameni ah...hebu ingieni darasani.... lol

The Marriage School

Are you married.....?
If Yes.... Then welcome to the school called MARRIAGE,
It is a school.................

Where you will never graduate
Without a break or a free period
Where no one is allowed to drop out,
Which you will have to attend every day of your life,
Where there is no sick leave or holidays.
Founded by God, on the
Foundation of love
Walls are made out of trust,
Door made out of acceptance ,
Windows made out understanding
Furniture made out of blessings
Roof made out of faith


Before you forget, you are just a student not the principal, GOD is the principal
Even in times of storms, don't be unwise and run outside, remember this school is the safest place to be.

Remember NEVER:
Go to sleep before completing your assignments for the day
Forget the C-word, Communicate, communicate to your classmate and also communicate to the Principal

If you find out something in your classmate that you do not appreciate.
Remember your classmate is also just a student not a graduate, God is not finished with her/him yet. So take it as a challenge and work on it together.

Do not forget to study, never read your faith leading book (Bible/Qoraan - Main textbooks), but study it
Start each day with a sacred assembly and end it the same way.
Sometimes you will feel like not attending classes, yet you have to.
When tempted to quit find courage in the Lord/Allah to continue.
Some tests and exams may be tough but remember the Principal knows how much you can bear.

But still it is a school better than any other,
It is one of the best schools on earth; joy, peace and happiness accompany each lessons of the day.

Different subjects are offered in this school, yet love is the major subject,
After all the years of theorizing about it, now you have a chance to practice it.
To be loved is a good thing, but to love is a greatest privilege of them all
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…