Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
HatariUyo mama nimemuelewa Risk Taker iyo mikopo aliyoiingia sio poa, sio kwa hizo changamoto alizo face.
Ila hapo mwisho kwa mwanawe aliyemaliza darasa la saba ndio kumenifanya niparudie ×3 yaani dogo kwa mtaji wa 50,000/= katengeneza 2.5M ndani ya miezi miwili hapa pamenipa changamoto.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uyo mama nimemuelewa Risk Taker iyo mikopo aliyoiingia sio poa, sio kwa hizo changamoto alizo face.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] heshima yako mkuu

Unamaaaana unalipa hii biashara gunia shingapi na unaweza pata faida ngapi.Best pumba ni kitu kingine wa wafugaji...kuna kipindi niliagizwa pumba kutok moro kwend dar ...imaginr unamnunilia mtu mko mwingine ..je km kw siku anauza debe kuanzia 50!?..yt yanawezekan mkuu! Na lzima auze coz mamake tayar an connection! Wachaga wenzake lazima watakuwa wanaend na canter kuchuku mapumba
Unamaaaana unalipa hii biashara gunia shingapi na unaweza pata faida ngapi.
Wateja wapo kweli?