Uaminifu wa kununua bidhaa Alibaba

Uaminifu wa kununua bidhaa Alibaba

Hivi ukinunulia simu Alibaba kwa njia ya mtandao ni waaminifu?
Na wanakuletea simu sahihi ambayo inasoma mtandao?
Namimi nataka kuagiza bike, lakini ninawasiwasi hapo kwenye kupata mzigo. Wazoefu watusaidie tafadhali
 
Nioiwahi kusikia jamaa miyeyusho unaagiza kitu fulani unaletewa famba.
 
Uwe makini kwenye kuagiza,wanakuletea.. niliagiza kitambaa cha meza,nikaletewa, nikaagiza smart watch, x dt.. nilipokea juzi,Jumamosi ya 23/11/2024.. nilikuwa najaribu.. saa nilipa tsh 85,000..ila kwenye la bongo ni 180,000tsh..
 
Unafanyeje malipo? Njia wanazotumia ni zipi?
 
Back
Top Bottom