Uamsho kuja na tamko la kwanini majina yao yame enguliwa katika wajumbe wa katiba?

Uamsho kuja na tamko la kwanini majina yao yame enguliwa katika wajumbe wa katiba?

Magembejr

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2014
Posts
618
Reaction score
75
Kuna tetec kuwa kikundi cha uamsho wata toa tamko la kupinga wao kuto teuliwa hata mjumbe mmoja wa bunge la katiba wakati kundi lao lina usajiri znz wa kudumu kama asasi inayo jitegemea
 
Kuna tetec kuwa kikundi cha uamsho wata toa tamko la kupinga wao kuto teuliwa hata mjumbe mmoja wa bunge la katiba wakati kundi lao lina usajiri znz wa kudumu kama asasi inayo jitegemea

nenda kalale kama huna la kusema
 
na wasi wasi kama watakuwa na hoja? asasi ngapi hawajateuliwa? au laki tatu zinawazuzua
 
Mhh uamsho bunge la katiba c watachana kama walivyofanya mbele ya samweli sitta huko znz wakati ulee!!!tuwe serious kidogo napita tuu
 
Hizi njaa hizi kwani siasa ndo ajira pekee wajaribu na kilimo kwanza wanaweza wakajikwamua kimaendeleo sio kudumaza akili zao kweny siasa.
 
Back
Top Bottom