Mr-Njombe
Member
- Aug 29, 2022
- 64
- 122
Hii ni polite exit strategy ya kuondoka chadema.
kubaki kwake chadema ni lazima ashinde uenyekiti taifa. kinyume na hivyo atachukua mkondo mwingine kisiasa.
Ni kwanini atangaze kugombea umakamu mwenyekiti awali, halafu ghafla unabadili gia angani na kuutaka uenyekiti na sio umakamu mwenyekiti tena?
Amesense kitu gani kwenye uchaguzi wa nafasi ya makamu mwenyekiti?
Au ameshatonywa kwamba asahau nafasi hiyo ya umakamu mwenyekiti taifa kwenye uchaguzi huu, na akaona bora liwalo na liwe, kama mbwai na iwe mbwai, akalazimika kuamua kupambana na chairman wa sasa?
Uanadhani ni wapi ataelekea endapo atashindwa uchaguzi huo au kuenguliwa mapema kabla ya uchaguzi?
Uamuzi huu unadhihirisha kwamba chadema kuna fukuto japo ni haki na uhuru wa kila mwanachadema.