Uamuzi wa mahakama ya kenya umeibua upya kumbukumbu ya matokeo haya

Uamuzi wa mahakama ya kenya umeibua upya kumbukumbu ya matokeo haya

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Waliojiandikisha: 23,161,440
Waliopiga kura:15,589,639
kura halali:402,248
MATOKEO:
Chama A kura: 8,882,925
Chama B kura: 6,724,048

Ukiacha vyama vingine,
Kura za chama A + kura za chama B= 15,606,973 (zinazidi kura halali)

Assume ngoma hii ingeingia mahakamani kama Kenya unafiki nini kingetokea?
 
Mwana Demokrasia Wenu Uhuru Kenyata kaanza kutukana Majaji kuhusu uamuzi wao wa kurudia Uchaguzi!

Bila Shaka anatamani Katiba ya Kenya ingekuwa Kama ya kwetu kwny kutohoji Mamlaka ya Tume na ikitokea Kashindwa kwny duru ya Pili nae ataenda Mahakamni
 
Tafadhali chanzo cha matokeo kiwekwe bayana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
makaburi yanafukuliawa

Psalm 133:1[emoji768] "Behold, how good and how pleasant it is for brethren to dwell together in unity."
 
Tehehehe tehe he, mulika mpaka kule visiwani c/o Jecha.

"PAMBANA NA HALI YAKO"
 
Back
Top Bottom