View attachment 3469521Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, Wakili Rugemeleza Nshala hii leo Septemba 11, 2025 akiongea na Wanahabari nje ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar Es Salaam amesema Tundu Lissu ameiomba Mahakama kumuachia huru kwa madai kwamba yale yote yaliyofanyika katika Mahakama ya Hakimu Mkaazi Kisutu yalikuwa batili,
================
Mahakama Kuu imeahirisha kesi hiyo hadi Septemba 15, 2025 kwaajili ya kutoa uamuzi wa Tundu Lissu kuachiwa huru ama vinginevyo.
==========
Jopo la Majaji watatu wa Mahakama Kuu Masjala ndogo ya Dar es Salaam ambao ni Jaji Dunstan Nduguru, Jaji James Karayemana na Jaji Ferdinand ambao wanasikiliza kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Antipas Lissu linatarajia kutoa uamuzi Jumatatu ijayo juu ya mapingamizi ya kesi hiyo yaliyotolewa na mashtakiwa aliyekuwa na hoja tano na kuwepa mapingamizi kesi isiendelee kwa hatua ya usilikilizwaji wa mashahidi katika kesi hiyo ya uhani ambayo haina dhamana.
Katika kesi hiyo Lissu anakabiliwa na shtaka moja la uhaini kinyume na kifungu cha 39(2) (d) cha sheria ya kanuni ya adhabu linalotokana na maneno aliyotamka kuhusiana na kuzuia kufanyika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.
View attachment 3469520
Chanzo: ITV
CCM mtandao ndiyo wametufikisha hapa- uchu wa Urais.Mambo mengine ni ujinga tu. Hakuna uhaini wa kufanywa na mtu mmoja tu! Narudia tena kusema hakuna!
Jumatatu mbali sana lazima watapewa maelekezo tu.Lissu ataachiwa huru,sheria imewabana sana mpaka hapo
Wana mtandao wanataka kutuharibia TZ yetu nzuri mungu waondoshe haoView attachment 3469521Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, Wakili Rugemeleza Nshala hii leo Septemba 11, 2025 akiongea na Wanahabari nje ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar Es Salaam amesema Tundu Lissu ameiomba Mahakama kumuachia huru kwa madai kwamba yale yote yaliyofanyika katika Mahakama ya Hakimu Mkaazi Kisutu yalikuwa batili,
================
Mahakama Kuu imeahirisha kesi hiyo hadi Septemba 15, 2025 kwaajili ya kutoa uamuzi wa Tundu Lissu kuachiwa huru ama vinginevyo.
==========
Jopo la Majaji watatu wa Mahakama Kuu Masjala ndogo ya Dar es Salaam ambao ni Jaji Dunstan Nduguru, Jaji James Karayemana na Jaji Ferdinand ambao wanasikiliza kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Antipas Lissu linatarajia kutoa uamuzi Jumatatu ijayo juu ya mapingamizi ya kesi hiyo yaliyotolewa na mashtakiwa aliyekuwa na hoja tano na kuwepa mapingamizi kesi isiendelee kwa hatua ya usilikilizwaji wa mashahidi katika kesi hiyo ya uhani ambayo haina dhamana.
Katika kesi hiyo Lissu anakabiliwa na shtaka moja la uhaini kinyume na kifungu cha 39(2) (d) cha sheria ya kanuni ya adhabu linalotokana na maneno aliyotamka kuhusiana na kuzuia kufanyika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.
View attachment 3469520
Chanzo: ITV
There’s an iota of hope! Jopo la majaji kidogo liko insulated. Linaweza kuwa na balls za kutenda haki dhidi ya Serikali.Kutegemea haki kwenye hiyo kesi, heri kusubiria dodo kwenye mnazi.
There’s an iota of hope! Jopo la majaji kidogo liko insulated. Linaweza kuwa na balls za kutenda haki dhidi ya Serikali.
Sasa wanafikiri malengo yao ya kumweka ndani Lissu yamekwisha timia; kumbe ndio kwanza jinamizi linawanyemelea!CCM mtandao ndiyo wametufikisha hapa- uchu wa Urais.
Usifanye mchezo na mtu aliye na hofu kubwa sana nawe.Jumatatu mbali sana lazima watapewa maelekezo tu.
And the new boss at the top appears to have given the signal towards that direction (kutenda HAKI). That's more than an iota! .There’s an iota of hope! Jopo la majaji kidogo liko insulated. Linaweza kuwa na balls za kutenda haki dhidi ya Serikali.
According to Katunga na Kaswaga inawezekana kwa mtu mmoja kupindua serikali.Mambo mengine ni ujinga tu. Hakuna uhaini wa kufanywa na mtu mmoja tu! Narudia tena kusema hakuna!