Uamuzi wa Msuva baada ya kukutwa na hatia ya kusukuma mwamuzi

dubu

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2011
Posts
3,502
Reaction score
3,483

Kamati ya nidhamu ya TFF leo August 31, 2017 imetangaza kumuandikia barua ya onyo kali Simon Msuva winger wa Taifa Stars na klabu ya Difaa El Jadid ya Morocco kufuatia kukutwa na hatia ya kumsukuma mwamuzi kwenye mechi ya mwisho ya ligi kuu Tanzania bara msimu uliopita kati ya Mbao FC dhidi ya Yanga kwenye uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza.

Wachezaji wengine waliohusishwa kwenye kesi kesi hiyo ni Obrey Chirwa na Deus Kaseke ambapo wawili hao hawajakutwa na hatia kwenye kesi hiyo.

“Maamuzi waliyotoa nayapokea kwa sababu hata kwa wachezaji wengine itawafundisha kwamba, maamuzi anayotoa refa ndio hayohayo ameamua kutoa. Naomba radhi kwa kilichotokea kwa sababu hakikutokea kwa pekeangu, tulikuwa wachezaji watatu mimi, Chirwa na Kaseke, mimi naomba radhi na wao najua wataomba radhi kwa muda wao,” Msuva.
 
mchezaji amekwisha fika morocco ndio wanajua makosa yake hawana la kufanya hapo zaidi ya barua tu
 
Hii mechi Yanga walifanya sana vurugu.
Nilikuwepo uwanjani nilimshuhudia Ngoma alifanya vurugu na rafu bila kuchukuliwa hatua.waamuzi wa cku hiyo walikuwa hovyo kabisa nao wanastahili adhabu maana vurugu zilisababishwa na wao baada ya kuwa anaogopa kutoa adhabu kwa wachezaji wa Yanga na matokeo yake ni kuvuruga Mchezo.
Kwa ujumla ilikuwa mechi ya hovyo ambayo watazamaji tuliibiwa viingilio vyetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fujo za jf mchezaji mechi kibao za timu yake hakucheza sababu ya majeruhi, lkn jf anachezeshwa tena ktk soka la hovyohovyo je! Ingekuwa mtoa khaki ingekuwaje?
 
'HUO NDIYO USTAARABU NA NI SPORTSMANSHIP' siyo mchezaji anafanya makosa ya kusaini timu 2 wakati mmoja halafu akamsingizia shetani na huku waja wengine wanaomba asamehewe- My foot!!!!!! Afungiwe tuu iwe somo
 
Kuna ukakasi mwingi nn ? Maana ya kuweka vipindi vya mapingamizi.

Basi Hata Leo waruhusu usajili ufanyike
 
Kwahiyo kama hakucheza mechi kibao hiyo maana yake hakucheza mechi zote za msimu uliopita?
Kwa taarifa yako ktk mechi chache alizocheza Ngoma msimu uliopita ni pa1 na mechi ya mwisho wa msimu kwenye uwanja wa ccm Kirumba Mza. Na aliwapiga wachezaji wawili wa Mbao viwiko lakini hata walioonywa na Tff yeye hayumo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna ukakasi mwingi nn ? Maana ya kuweka vipindi vya mapingamizi.

Basi Hata Leo waruhusu usajili ufanyike
Inawezekana kabisa lakini huyo Buswita alifanya hivyo wilfully na alipokuwa anaulizwa alikuwa anajing'ata na hata alipoambiwa athari ya kitendo chake alidai viongozi wa timu hizo wanalishughulikia.
 
Inawezekana kabisa lakini huyo Buswita alifanya hivyo wilfully na alipokuwa anaulizwa alikuwa anajing'ata na hata alipoambiwa athari ya kitendo chake alidai viongozi wa timu hizo wanalishughulikia.
VP aliwekewa pingamizi? Kipindi cha pingamizi na kutangazwa hadharani
 
VP aliwekewa pingamizi? Kipindi cha pingamizi na kutangazwa hadharani
THAT BESIDE THE POINT HOWEVER DESPITE MY LOVE FOR YANGA, LET US CALL SPADE A SPADE. THESE 2 CLUBS HAVE OFTEN BEEN RIPPED OFF BY THESE KINDS OF PLAYERS AND IN MY OPINION, YANGA SHOULD NOT EVEN BE BOTHERED BY SUCH PLAYERS.
 
Yawezekana ukawa uko sahihi, lkn kama kumewekwa kipindi cha kuacha wachezaji,kipindi cha usajili,kipindi cha pingamizi

Ni vyema kipindi hivi vikaheshimiwa lkn heshima isimame kwa mchezaji huku viongozi na shirikisho wakiwa wavurundaji no 1.
 
NINAKUBALI 100% USEMAYO LAKINI KOSA LA BUSWITA LIMETUATHIRI SANA KWANI TUNGEWEZA SAJILI MCHEZAJI WA MAANA TU NA YEYE AMEFANYA HIVYO BILA KUJALI ATHARI YA KITENDO CHAKE KWA YANGA- TUPA KULEE SASA ANGOJEE NDONDO ILI AKILI YAKE IKAE VIZURI
 
Sasa akiadhibiwa mchezaji peke yake si dawa, hapa rungu lingemshukia yule aliyemsajili na kumwambia awaachie wao.

Pili rungu lingemshukia na yule ambaye kipindi cha pingamizi alikaa kimya na kisha anabuka muda umekwisha maana yake kuna mazungumzo yaliyoshindikana kati ya vilabu hivi.
 
THAT BESIDE THE POINT HOWEVER DESPITE MY LOVE FOR YANGA, LET US CALL SPADE A SPADE. THESE 2 CLUBS HAVE OFTEN BEEN RIPPED OFF BY THESE KINDS OF PLAYERS AND IN MY OPINION, YANGA SHOULD NOT EVEN BE BOTHERED BY SUCH PLAYERS.

Tukipata mashabiki wengi, lakini hasa viongozi wenye mtazamo kama wako mpira wetu utasonga mbele sana na watu watakuwa serious. Sijajua kwa nini sisi mashabiki huwa tunataka kutetea hata ujinga wa kizamani sana kwa wachezaji wakati huo huo tunataka haki itendeke. Haki ipi? Sheria na kanuni zipo kuregulate mchezo ili tupate kinachoitwa fair play, sasa zinapotumika tunakuwa wachungu kwa wenye mamlaka badala ya wachezaji au viongozi husika.

Halafu hivi kwa nini Buswita hakuwaambia ukweli Yanga ili nao washughulikie na Simba mambo yaishe? Kwa nini wachezaji hawajifunzi? Mwaka jana Said Mkopi na William Lucian walifungiwa na ikatangazwa nikajua huu ujinga hauweji kujirudia kirahisi. Buswita aiombe radhi Yanga.

Na sasa labda TFF wapitishe kanuni kila mchezaji awe na meneja wake na kila mkataba usainiwe pia na meneja ili uwe valid.
 
THAT BESIDE THE POINT HOWEVER DESPITE MY LOVE FOR YANGA, LET US CALL SPADE A SPADE. THESE 2 CLUBS HAVE OFTEN BEEN RIPPED OFF BY THESE KINDS OF PLAYERS AND IN MY OPINION, YANGA SHOULD NOT EVEN BE BOTHERED BY SUCH PLAYERS.
Kaka umeona ubabaishaji wa viongozi wetu wa soka.
Warudi kwenye haki siku zote haki husimama kijana walimuonea mfumo wa TMS haungopi Simba walipaswa watumie njia za kisheria kudai pesa zao sio kumfungia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…