Uchaguzi 2020 Uamuzi wa Musoma Mjini upo mikononi mwa Wananchi

Uchaguzi 2020 Uamuzi wa Musoma Mjini upo mikononi mwa Wananchi

Marwa Chacha

Senior Member
Joined
Feb 5, 2015
Posts
102
Reaction score
51
Siasa ya Musoma mjini October 28 itakuwa ni uamuzi mkuu wa wana Musoma kumrudisha Mathayo au kumpa nafasi Kamanda Julius Gabriel Mwita.

Muonekano katika kampeni ya Mwita ya Juzi kata ya Rwamilimi na jana kata ya Kigera imeonesha mchuano mkali upo baina ya hawaa viongozi wawili..
 
Mathayo anamaliza awamu ya Ubunge kupitia Ccm na Julius Mwita anaomba nafasi kupitiwa Chadema.
 
Hivi Matayo bado ni mbunge Musoma mjini?

Musoma mji wa kiswahili sana, haukui, miaka na miaka uko vile vile.
 
Hivi Matayo bado ni mbunge Musoma mjini?Musoma mjini imebadilika kiongozi tangia awamu ya Mhe Vincent Nyerere 2010/2015 alileta mabadiliko makubwa.kwa sasa tunahitaji Mwita.

Musoma mji wa kiswahili sana, haukui, miaka na miaka uko vile vile.
 
Hivi Matayo bado ni mbunge Musoma mjini?

Musoma mji wa kiswahili sana, haukui, miaka na miaka uko vile vile.

Sababu ya ccm Mkuu.

Siyo Musoma tu kila sehemu hapa Tanzania, umaskini tulio nao ni sababu ya ccm Mkuu.

Piga chini huyo Mathayo na ccm yake.

Kura zote kwa Julius Mwita wa Chadema .
 
Back
Top Bottom