Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,600
Duh mafuta ya nazi yame panda bei sanaChukua Sheria mkononi tu mkuu 🤣
Vibibi navyo jau siku hizi
Daah hahahaaa wee jamaa nimecheka sana😂😂Chukua Sheria mkononi tu mkuu 🤣
Vibibi navyo jau siku hizi
Utaangukia pua, mwakani karibu sana.Baada ya kupigwa matukio sana na watoto wa 2000 now nime amua kudate na mtu ambaye kanizidi umri au agement wanawake wa 95 up 97 hawa wana jitambua kwa hali fulani au mna lipi la kuniambia nataka kuoa mwakani
HujaoaHili suala ni gumu sana mkuu, mwenyewe hapa bado nipo njia panda lipi ni lipi.
Ndiyo mkuu bado sijaoa, ila na wish sana angalau nipate good wife.Hujaoa
AhahHaHili suala ni gumu sana mkuu, mwenyewe hapa bado nipo njia panda lipi ni lipi.
Acha tuMwachi bhn
Changamoto mkuuAhahHa
Hapana wapoje haoUtaangukia pua, mwakani karibu sana.
Umejaribu mashangazi ya 85 mpaka 95?
NinazoTafuta hela ndugu
Ujakosea mkuuKupata mke unahitaji bahati sana, ila wanawake wapo wengi sana
Kubwa sanaChangamoto mkuu