Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,600
- Thread starter
-
- #21
Naliwa pesa kila sikuHata wa 2000 wapo watulivu ila tatizo umemkutia wapi,kalelewaje? Na anawachukuliaje wanaume?
Maana mtazamo wake juu ya kiumbe mwanaume ni muhimu sana,mwanamke unamuuliza wanaume unawachukuliaje anajibu "wanaume wote ni mbwa tu" then utegemee ukimwoa atakuona koboko..sahau mkuu
Lakini usisahau pia kujitambua wewe mwenyewe pia,je unastahili kuishi na binti wa watu au ndiyo akavumilie tu
Kwa afyaKaribu kwenye chama la one more night
Mh acha bcTatizo lako kubwa wewe bwana mdogo unataka kujenga nyumba kwenye uwanja wa kupigilia hema......View attachment 3471270
Pole sana mkuu 😂😂Naliwa pesa kila siku
Naumia sanaPole sana mkuu 😂😂
Siku zote itangulize akili yako mbele badala ya moyo ,utauona uhalisia na kufanya maamuzi sahihi......Mh acha bc
Mm napenda vibayaSiku zote itangulize akili yako mbele badala ya moyo ,utauona uhalisia na kufanya maamuzi sahihi......
Hawa nao washapigwa/piga matukio kama wewe au kuliko wewe, sio kama washa jitambua.wanawake wa 95 up 97 hawa wana jitambua kwa hali fulani au mna lipi la kuniambia
Yameshuka bei mkuu , yalikuwa yanauzwa 2000 ila Sasa hivi ni 1500Duh mafuta ya nazi yame panda bei sana
Hili neno limenifurahisha sana kwa kweli 😊Naumia sana
Na mm ndio nataman iloHawa nao washapigwa/piga matukio kama wewe au kuliko wewe, sio kama washa jitambua.
Hao wanatafuta pakulipizia hasira zao au wapate mwenza wa kufarijiana nao.
Sasa kupika na mapenzi kuna uhusianAcha kupika pika uone kama mapenzi yatakutesa tena😎
Jamaa anapika mpaka mabinti wanaogopa kuaibishwa aisee😂😂🙌Acha kupika pika uone kama mapenzi yatakutesa tena😎
Na watazidi kukunyonyoa manyoya bila maji ya moto!!!!Mm napenda vibaya
Dah nipate leo nijirushe usiku kimoja cha afyaYameshuka bei mkuu , yalikuwa yanauzwa 2000 ila Sasa hivi ni 1500
Hela haitafutwi inategwa.Tafuta hela ndugu
Vinahusiana aisee, mabinti wengi hawajui kupika...kuingia maishani mwako kwamba umfunze anaona so😊Sasa kupika na mapenzi kuna uhusian
UhakikaKwa afya