Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,600
- Thread starter
-
- #41
Duh sio rahisHili neno limenifurahisha sana kwa kweli 😊
Yaan wewe uumie tu,kuimba kupokezana mkuu🥴
Ila pole bhana...sisi pekeyako na wa kwenye ndoa wanaumia pia....hivyo ni Bora maumivu yako maana bado una nafasi ya kuchagua umtakaye
sindio😀 anakaa jikoni mda mwingiJamaa anapika mpaka mabinti wanaogopa kuaibishwa aisee😂😂🙌
ndioSasa kupika na mapenzi kuna uhusian
umetisha sana👊Vinahusiana aisee, mabinti wengi hawajui kupika...kuingia maishani mwako kwamba umfunze anaona so😊
Vipi ukiitega halafu isinase 🤣Hela haitafutwi inategwa.
Au achague kimoja kati ya mapenzi au mapishiBestie naona ubaki kwenye mapishi, huko kwingine hakukufaii.
Usiseme sikukuambia, 😂😂😂😂😂😂
unabadilisha ulimbo tuVipi ukiitega halafu isinase 🤣
Sasa kijana, hao wa 95-97 wanatofauti gani na binadamu wa 2000?Baada ya kupigwa matukio sana na watoto wa 2000 now nime amua kudate na mtu ambaye kanizidi umri au agement wanawake wa 95 up 97 hawa wana jitambua kwa hali fulani au mna lipi la kuniambia nataka kuoa mwakani
...agement!!! ??agement
Na wewe unataka kuliwa nini?Naliwa pesa kila siku
Uko sawa, endelea, lkn usisahau, kwa vyovyote vile, utamhitaji Mungu, so omba.. utapewa.Baada ya kupigwa matukio sana na watoto wa 2000 now nime amua kudate na mtu ambaye kanizidi umri au agement wanawake wa 95 up 97 hawa wana jitambua kwa hali fulani au mna lipi la kuniambia nataka kuoa mwakani
Asante mkuu but sipo tayari kuingia kwenye mahusiano kwasasaMcheki waifu material mnaweza teta jambo.
Labda kwa kukupigia chapuo tu waifu material huyu jamaa ni chef wa jf, shughuli za jf zote yeye ndio huwa kiongozi wa maakuli.
Kwasasa hali yake itakua tete kwakua ofisi imefungwa nchini kwenu ila si haba wanae tutamsave akikwama.
Kila la kheri kwenu.
Apo kwenye malezi nakazia, asisahau kuwa watu wametofautiana na hata wahuni huzeeka pia. Kuna watoto wa 2,000 wamenyooka sana mpaka, nipo na wa afu mbili amenyooka kama rula, heshima ipo, utu upo, upendo upo, wa rangi yako nayopenda na nyash juu nitake nini zaidi😅.Hata wa 2000 wapo watulivu ila tatizo umemkutia wapi,kalelewaje? Na anawachukuliaje wanaume?
Maana mtazamo wake juu ya kiumbe mwanaume ni muhimu sana,mwanamke unamuuliza wanaume unawachukuliaje anajibu "wanaume wote ni mbwa tu" then utegemee ukimwoa atakuona koboko..sahau mkuu
Lakini usisahau pia kujitambua wewe mwenyewe pia,je unastahili kuishi na binti wa watu au ndiyo akavumilie tu