Kwani tuna ishi milele bulaza kama ume elewa Mali chukua ππ hizi mambo hazina mweyeji ndo mana unapewa cheti kabla ya matokeo yenyewe π nikiendaBaada ya kupigwa matukio sana na watoto wa 2000 now nime amua kudate na mtu ambaye kanizidi umri au agement wanawake wa 95 up 97 hawa wana jitambua kwa hali fulani au mna lipi la kuniambia nataka kuoa mwakani
Mkuu ana taka ongezeko la wajomba kwa nguvu zote apingweπ walio kuwepo wanatoshaDaah hahahaaa wee jamaa nimecheka sanaππ
Kwakweli brooKwani tuna ishi milele bulaza kama ume elewa Mali chukua ππ hizi mambo hazina mweyeji ndo mana unapewa cheti kabla ya matokeo yenyewe π nikienda
howNa wewe unataka kuliwa nini?
SitosemaSasa kijana, hao wa 95-97 wanatofauti gani na binadamu wa 2000?
Pole sana,tupe habari kamili ya kuvunjwa moyo nikucheke kidogoπ
AchaUnaharibu kabisa
Kupata mke unahitaji bahati sana, ila wanawake wapo wengi sana