Certified Hater
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 1,760
- 3,733
Umepima vipi kwamba wanalinga? Una lako jambo si bureTza kumekuwa na katabia kaajabu sana taaluma zipo nyingi sana tena muhimu zaidi ya sheria but hii taaluma wanajisikia sana !
Wanajisikia kuanzia
wanavyovaa,
wanavyoongea
Wanavyotembea na mbaya zaidi
Wanavyojichukulia
Alafu wanajiita "wanasheria wasomi" [emoji2]
Hivi hizi taaluma nyingine kama;
Udaktari
Unesi
Ualimu
Uhasibu
Uinjinia
Mbona hawana makuu nyie maHKL ndio mnavimbaa na kujifanya wanajua kila kitu japo wengi wao tumewaburuza sana class huko O level leo wanajifanya wanajua kila kitu alafu salary scale ndio hizohizo but mnavimba na viIST vyenu vya mikopo
Mbona taaluma nyingine tunaishi tu simple tu, tunaheshimu kila mtu, tunaishi kila sehemu na kila mtu na kikubwa zaidi tu TUNASOLVE CONFLICTS kwa busara na kupuuza but mwanasheria kila kitu anataka mpelekane mahakamani hapa nakumbuka
"Mjinga ukimpa nyundo kila tatizo anataka alitatue/alimalize kwa kutumia nyundo.
Ukienda mahakamani unashida na hakimu utasikia "mheshimiwa" yupo bussy!!!
Duh makubwa yani sisi ni raia maHKL ndio wawe waheshimiwa
Wanasheria acheni makuu mnaboa kinoma mjue.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa muktadha huu tutakutana mahakamani mkuuTza kumekuwa na katabia kaajabu sana taaluma zipo nyingi sana tena muhimu zaidi ya sheria but hii taaluma wanajisikia sana !
Wanajisikia kuanzia
wanavyovaa,
wanavyoongea
Wanavyotembea na mbaya zaidi
Wanavyojichukulia
Alafu wanajiita "wanasheria wasomi" [emoji2]
Hivi hizi taaluma nyingine kama;
Udaktari
Unesi
Ualimu
Uhasibu
Uinjinia
Mbona hawana makuu nyie maHKL ndio mnavimbaa na kujifanya wanajua kila kitu japo wengi wao tumewaburuza sana class huko O level leo wanajifanya wanajua kila kitu alafu salary scale ndio hizohizo but mnavimba na viIST vyenu vya mikopo
Mbona taaluma nyingine tunaishi tu simple tu, tunaheshimu kila mtu, tunaishi kila sehemu na kila mtu na kikubwa zaidi tu TUNASOLVE CONFLICTS kwa busara na kupuuza but mwanasheria kila kitu anataka mpelekane mahakamani hapa nakumbuka
"Mjinga ukimpa nyundo kila tatizo anataka alitatue/alimalize kwa kutumia nyundo.
Ukienda mahakamani unashida na hakimu utasikia "mheshimiwa" yupo bussy!!!
Duh makubwa yani sisi ni raia maHKL ndio wawe waheshimiwa
Wanasheria acheni makuu mnaboa kinoma mjue.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama utakuwa na akili timamu zaidi ya kitu kinachoitwa mabadiliko basi bila shaka utajiita mjuaji kumbe unapitwa Mambo yanabadilika kila siku tambua hilo kama na wewe mjuaji poleKujua zaidi nini wakati ninajua tayari?
By the way, hakuna mtu asiyejua kitu. Na kama unajua kitu ni lazima uwe na confidence. Mwanasheria ni mtu confident wakati wote. Sasa mtu akiwa confident kwa kuwa anajua ninyi inawauma.
Basi na ninyi someni sheria basi!
Unajitahidi kujieleza inaonekana uliwahi kuibia lecture ya sheria!Swala laweza kuwa mtambuka iwapo utekelezaji wake utahitaji au unategemea chombo /taasisi zaidi ya kimoja au viili ili kuleta matarajio chanya!
Uwepo wa chombo/taasisi moja hautaweza kukamilisha matarajio kuwa halisi na chanya iwapo taasisi nyingine zitashindwa kutekeleza wajibu wake kwa wakati!
Sent using Jamii Forums mobile app
Itabidi ujiue mkuu, maana hakuna namna.Kujiita “ Wakili Msomi” hilo neno msomi linasimama kama kielezi cha sifa!
Sasa nikuulize kuna wakili asiye msomi ?
Kiukweli mimi nilizani ni watu tu ambao ni illiterates walioamua kuwaita hivyo kimakosa,
Kumbe ni ninyi wenyewe kwa makusudi mazima kabisa [emoji3][emoji3][emoji3]
Basi hiyo inaonesha jinsi kiwango chenu cha ufahamu kuwa kilivyo!
Ni mfano Rais wa nchi flani awe anwpojitambulisha kuwa rais halafu amalizie kwa kusema “top leader”
Hayo yatakuwa mashauzi!
Wakati kwa kule kusema rais tu wa nchi flani tayari inaeleweka miongoni mwa watu kuwa ni kiongozi mkuu wa nchi!
Yani mmenishangaza kweli!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa mainjinia uchwara wasioweza kusoma tape measure wakifukuzwa kazi wanakuja ofisini kulia lia! Engineer soma hiyo....Word up,learned brother!Binadamu ni kuringa.Mtu kapooza kama embe bolibo changa kutoka Ntalikwa Tabora!Wachangamke hao mainjinia uchwara waache kuchezea magrisi kama wehu.
Unapoteza muda kuwajibu ! Waelekeze wakukute kisutu muelewane vizuri.Wenzio wana historia na mimi.Ukiona mwanasheria zoba ujue kalazimisha fani huyo.Mwanasheria ni kujiamini,kudadisi,kucheza na akili za watu na mambo kama hayo.
Kama utakuwa na akili timamu zaidi ya kitu kinachoitwa mabadiliko basi bila shaka utajiita mjuaji kumbe unapitwa Mambo yanabadilika kila siku tambua hilo kama na wewe mjuaji pole
Sent using Jamii Forums mobile app
kutokujua kwangu ndio kunipa maendeleo makubwa na kutamani kujua kwingi zaidi YOU DON'T KNOW MY PROFILE!! you such D!¢× headMtu akijua naye apewe pole. Na asiyejua kama wewe apewe hongera?
kutokujua kwangu ndio kunipa maendeleo makubwa na kutamani kujua kwingi zaidi YOU DON'T KNOW MY PROFILE!! you such D!¢× head
Sent using Jamii Forums mobile app