Uanaume na mazoezi ya mwili ni pacha

Uanaume na mazoezi ya mwili ni pacha

sabuwanka

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2015
Posts
691
Reaction score
757
Pamoja na changamoto za maisha zinavyotupeleka kasi, hivi karibuni kumekuwa na matangazo kila kona ya kurejesha uanaume. Mshana husema urijali, Bujibuji husema nguvu za kiume, hali kwa asilimia kubwa husababishwa na mwili kutokuwa na mazoezi ya kutosha ya kuushughulisha moyo (cardio).

Jambo linalofanya kusiwe na mzunguko mzuri wa damu, sababu nyingine ni ulaji wa vyakula vyenye mafuta mengi mfano chips, unywaji wa soda nk. Jambo linaloongeza lehemu katika mishipa ya damu na unene, hata hivyo mtindo wa maisha wa kukaa muda mrefu katika kazi za maofisini au biashara husababisha ulegevu wa mwili na mwili kutokuwa active.

Hivyo solution mojawapo ya hayo ni kufanya mazoezi angalau mara tatu Kwa wiki mazoezi Kama kukimbia kidogo kidogo, kuruka kamba kutembea kwa kasi na mengine mengi jamani

"Uanaume na mazoezi ni pacha" kwa ustawi wa ndoa na afya ya mwili
 
Ndo maana nawatafunaga sana kwq body langu........😂😂😂. Ndugu zangu endeleeni kuwa na vtambi
 
Pray aptly
Get a quality Sleep of not less than 7 hours daily
Eat cautiously
Exercise intensively
Read like a geek

Mambo ya Sex na Hela ni uzushi tu; Afya kwanza
 
Hivi mtu anayeshinda na kazi kama ya kusaidia fundi kumpa, tofali, kuchanganya zege na kubeba kuna umuhim wa mazoezi mkuu?
 
Ndio
akijibu nitagi
,Mazoezi hayo ni strength exercise ni muhimu kwa afya utimamu wa mwili,pia unahitaji cardio exercises mazoezi ya kufanya upumue kwa kasi Kama kukimbia, nk
 
Back
Top Bottom