Uandaaji wa beetroot

Uandaaji wa beetroot

magida10

Member
Joined
Jul 16, 2014
Posts
8
Reaction score
0
Habari za leo.
Naomba kuuliza ulaji wa betroot yakuchemsha au kusaga juice, kwa njia ipi hapo huongeza damu kwa haraka zaidi?
Asanten
 
Best uisage kwenye blender unywe kama juice
 
Na bora uichemshe kidogo pia..raw binafsi siipendi ladha yake
Na kuchanganya na tunda lingine
Mf ndizi embe kuongeza ladha
 
Na bora uichemshe kidogo pia..raw binafsi siipendi ladha yake
Na kuchanganya na tunda lingine
Mf ndizi embe kuongeza ladha
Kwa lugha nyepesi hii ni juice, huwezi chemsha matunda yote hayo upate kitu sahihi
 
Kwa lugha nyepesi hii ni juice, huwezi chemsha matunda yote hayo upate kitu sahihi
Ni preference tu
Naiona beetroot kama carrot
Unaweza ila fresh ama ukachemsha kidogo

Carrot ukichemsha kidogo unaipata ile ladha yake ya sukari vizuri

Jaribu kula raw beet afu chemsha kidogo kula pia uone ipi ina ladha nzuri
 
nilichoshangaa ni kuichemsha pamoja na embe na ndizi, labda kama nilikuelewa vibaya kwenye uandishi wako! sorry kama nimekuelewa vibaya!
 
Back
Top Bottom