Uandaaji wa soya ya lishe

maite dan

Senior Member
Joined
Mar 18, 2016
Posts
145
Reaction score
90
HATUA
√ Ichambue soya yako vizuri kuondoa uchafu na mbegu mbovu
√ Bandika maji jikoni mpaka yachemke
√ Weka soya yako ndani ya maji na iache kwa muda wa nusu saa na kuendelea kulingana na ukali wa moto wako
√ Ipua soya yako
√ Minya maganda yote zibaki zile mbegu za ndani.
√ Ainika soya yako na ikikauka itakuwa tyari kwa lishe yako

NB: Soya ni source nzuri ya protini, ili uipate hiyo protini hakikisha unamenya maganda yote sababu yana kitu kinaitwa ant-nutritional factor inayozuia protini ndani ya soya isitumike ipasavyo
 
Soya ni nzuri sana, nikimpa mtoto anagain weight kweli kweli..... Ila kwenye kutengeneza ndio ishu hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…