venister 98
Member
- Jun 11, 2022
- 9
- 10
Nahita lishe kwa mama alie jifungua je naweza tumia hii hiii ama kuna vitu vinaongezeka?Mahitaji muhimu ni ulezi 1kg, mahindi 1kg, karanga 1/4, mchele 1/4, ngano isiyokobolewa 1/4.
Chambua viungo vyote Kisha uvisafishe baada ya hapo vianike Juani vikauke vizuri.
Kaanga karanga kisha ondoa maganda yote, baada ya hapo changanya viungo vyote kwa pamoja, saga lishe yako tayari kwa matumizi.
Unasaga kwenye mashine Gani?Mahitaji muhimu ni ulezi 1kg, mahindi 1kg, karanga 1/4, mchele 1/4, ngano isiyokobolewa 1/4.
Chambua viungo vyote Kisha uvisafishe baada ya hapo vianike Juani vikauke vizuri.
Kaanga karanga kisha ondoa maganda yote, baada ya hapo changanya viungo vyote kwa pamoja, saga lishe yako tayari kwa matumizi.
πππUnasaga kwenye mashine Gani?
Itakuwa ni blender nnπππ