Uandaaji wa vitabu vya kujifunzia na kufundishia

Uandaaji wa vitabu vya kujifunzia na kufundishia

BUNGULWA

Member
Joined
Jan 25, 2013
Posts
40
Reaction score
2
Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) itaandika na kuchapisha vitabu vya kiada (kitabu kimoja kwa kila darasa na kila somo) kwa ngazi za Elimu ya Awali, Msingi, Sekondari na Mafunzo ya Ualimu.

Pia itaratibu maandalizi na uzalishaji vitabu vya ziada (reference books) na vifaa vingine vya elimu (vifaa vya kujifunzia na kufundishia) vitakavyoandaliwa na wachapaji binafsi.

Waraka huu unafuta Waraka Na. 7 wa mwaka 2005, na unaanza, kutumika
kuanzia tarehe 1/9/2014.

SOURCE WARAKA WA ELIMU NA. 4 WA MWAKA 2014 KUHUSU UTAYARISHAJI
WA VIFAA VYA KUJIFUNZIA NA KUFUNDISHIA Tarehe: 7/08/2014
 
Back
Top Bottom