Wadau habari zenu.
Hivi ukinunua Tela la Trekta ambalo limechongwa hapahapa Bongo, ni lazima kulifanyia usajiri TRA au linaweza kutumia usajiri wa trekta ambalo linaunganishwa?
Jee kama lazima liwe na usajiri wake, jee gharama zake na utaratibu wake upoje?
Natanguliza shukrani