Uandishi [uu] humetoka wapi?

Uandishi [uu] humetoka wapi?

Mtafiti77

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2011
Posts
1,877
Reaction score
2,314
Ngoja nihende moja kwa moja kwenye oja. Ivi uu uhandishi watu wanaondoa irabu na kuweka konsonanti [h] ama kinyume chake humetokeha wapi? Ni shule mbovu hau ni stahili mpya? Ninadhani mumenihelewa.
 
Ngoja nihende moja kwa moja kwenye oja. Ivi uu uhandishi watu wanahondoa irabu na kuweka konsonanti [h] ama kinyume chake humetokeha wapi? Ni shule mbovu hau ni stahili mpya? Ninadhani mumenihelewa.
Mkuu kwa akili hizi naomba ujiunge ccm pliz
 
Umekunywa konyagi.
Ngoja nihende moja kwa moja kwenye oja. Ivi uu uhandishi watu wanahondoa irabu na kuweka konsonanti [h] ama kinyume chake humetokeha wapi? Ni shule mbovu hau ni stahili mpya? Ninadhani mumenihelewa.
 
Wewe ndo bure kabisa. Apo akuna uhusiano na hakili kabisa. Wewe hunapaswa kurudi kusoma kozi za helimu, asaasa masuhala ya utambuzi (cognition).
Hakili
Helimu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Narudia tena, naomba ujiunge ccm pliz. Hiyo ndiyo category yako wew
 
Ngoja nihende moja kwa moja kwenye oja. Ivi uu uhandishi watu wanahondoa irabu na kuweka konsonanti [h] ama kinyume chake humetokeha wapi? Ni shule mbovu hau ni stahili mpya? Ninadhani mumenihelewa.
Huyu hayuko serious, anachezea akili zetu
 
Back
Top Bottom