Hapana chagua lugha mojawapo kiswahili au kiingereza halafu hiyo kazi tayari umeshaikosa kwakuwa hujiamini na elimu uliyo nayo
kutumia neno kacertificate kangu tayari umeonyesha ni jinsi gani huna imani na shule yako mwenyewe.Jifunze kujiamini utaaminika