Ndugu wadau,
Mimi ni mpenzi sana wa tasnia ya filamu na tamthilia. Aidha, ni mwandishi mzuri sana wa hadithi. Hata hivyo, sina idea kabisa na jinsi gani scripts zinavyoandikwa!!! Je, kuna mtu yeyote ambae anaweza kuniandikia angalau mistari mitano ili nione format yake? I hope, kiasi kidogo tu cha mistari kinaweza kunipa mwanga wa wapi pa kuanzia.