Habari wanaJf,naomba kuuliza,nikitaka kutoa kitabu hapa Tanzania kuhusu jambo Fulani(lolote),ili kupata ISBN number na kitabu change kupitishwa,ninatakiwa kupitia hatua gani?je kuna gharama yoyote?mwenye azoefu au idea ya uandishi wa vitabu hapo nchini kwetu tafadhali a-post chini ya thread hii.natanguliza shukrani
Mkuu sisi wasomaji ndio tunawakwamisha waandishi. Watanzania hatuna utamaduni wa kusoma vitabu na nadhani ndio maana hiyo biashara hapa kwetu inaonekana kwua ni biashara kichaaHivi hii shughuli ya utunzi wa vitabu inalipa kweli maana nimeshangazwa na huyu jamaa yangu shigongo hatoi tena vile vitabu vyake na kuacha kuendelea kuandika kwenye magazeti Nina li stori langu nimeliweka ndan tu nataka siku moja nitafutie umaarufu na mimi nitambulike rasmi hapa Tanzania.
Mkuu sisi wasomaji ndio tunawakwamisha waandishi. Watanzania hatuna utamaduni wa kusoma vitabu na nadhani ndio maana hiyo biashara hapa kwetu inaonekana kwua ni biashara kichaa
nitakutafuta. naandika kitabu changu fulani.Nitafute kwa hii number 0713584890, nitakufanikishia kwa gharama ya tsh. 30,000/= kiasi ambacho ni kwa ajili ya kulipia pale maktaba. Binafsi nipo kwenye kampuni ya Printing n Publications hapa Kariakoo Dsm. Gharama zetu ni very affordable, na huduma ni nzuri, trust me. Tuwasiliane kwa maelezo zaidi.
ukihitaji huduma ya Printing, designing na text setting ya kitabu chako sema tu, mimi nafanya kazi hzo
Nitafute kwa hii number 0713584890, nitakufanikishia kwa gharama ya tsh. 30,000/= kiasi ambacho ni kwa ajili ya kulipia pale maktaba. Binafsi nipo kwenye kampuni ya Printing n Publications hapa Kariakoo Dsm. Gharama zetu ni very affordable, na huduma ni nzuri, trust me. Tuwasiliane kwa maelezo zaidi.
mmmhh huu upatikanaji wa ISBN siwezi kuanzia kwa regional library