Uandishi wa vitabu

Uandishi wa vitabu

vanilla

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2012
Posts
448
Reaction score
357
Habari zenu wapendwa; kwa wapenzi wa kusoma vitabu je ni kitabu gani unatamani kukisoma lakini hakijawahi kuandikwa? Au ni topic gani ungependa kuisoma kwenye kitabu? Je ni kujifunza kazi za mikono? Mapishi? Hadithi? Ni nini unatamani kusoma?
 
Mwendelezo wa tapo la riwaya za Kifalsafa katika Fasihi ya Kiswahili...kama Nagona na Mzingile za Euphrase Kezilahabi.
 
Habari zenu wapendwa; kwa wapenzi wa kusoma vitabu je ni kitabu gani unatamani kukisoma lakini hakijawahi kuandikwa? Au ni topic gani ungependa kuisoma kwenye kitabu? Je ni kujifunza kazi za mikono? Mapishi? Hadithi? Ni nini unatamani kusoma?
Story fulani zenye drama
 
Back
Top Bottom