Uanzilishi wa ujasiriamali wa kawaida

Uanzilishi wa ujasiriamali wa kawaida

RUGE12

Member
Joined
Jan 20, 2014
Posts
19
Reaction score
0
habar,nilikuwa napenda ushaur wenu wa kina juu ya uanzilishi wa biashara ya kawaida ya uzalisha wa mtaji wa 50-60m nijiusishe na biashara yenye chachu na tija la kimaendeleo
 
kama thijakuthoma hivi , hapo umeandika 50-60 m ukiwa na maana ya millions ama umekosea ? pili unaposema biashara ya KAWAIDA unakua na maana ipi
 
kama thijakuthoma hivi , hapo umeandika 50-60 m ukiwa na maana ya millions ama umekosea ? pili unaposema biashara ya KAWAIDA unakua na maana ipi

ndio namaabisha million na pia napo sema biashara yakawaida nimechukua idea ya kua najua fikra uanzilishi wa biashara kwa njia ya viwanda ni cost kubwa sana ila kwa sisi tunaotumia SIDO kama mgongo wetu twaziita biashara za kawaida
 
Back
Top Bottom