habar,nilikuwa napenda ushaur wenu wa kina juu ya uanzilishi wa biashara ya kawaida ya uzalisha wa mtaji wa 50-60m nijiusishe na biashara yenye chachu na tija la kimaendeleo
ndio namaabisha million na pia napo sema biashara yakawaida nimechukua idea ya kua najua fikra uanzilishi wa biashara kwa njia ya viwanda ni cost kubwa sana ila kwa sisi tunaotumia SIDO kama mgongo wetu twaziita biashara za kawaida