MIUNDOMBINU
JF-Expert Member
- Apr 14, 2010
- 465
- 96
UANZISHAJI NA UENDESHAJI WA KAMPUNI
Amani iwe kwenu nyote wana JF!
Ndg zangu nimekuwa ni kitatizwa sana na maswali yafuatayo huenda nawe pia unatatizwa na maswali kama haya,
(1) kwa nini kampuni nyingi za Kitanzania zinakufa haraka baada ya kuanzishwa?
(2) Kwa nini kampuni nyingi za kitanzania hazina uhai au hazihimili ushindani katika soko?
(3) Kwa nini kampuni nyingi za kitanzania hazina ofisi maalum ya ni kampuni za mifukoni tu?
(4) Kwa nini kampuni nyingi za kibongo hazipewi kipaumbele hasa ktk suala la mikopo ya kibenki mf kampuni ya Bw Lakeshi ikiomba mkopo wa tsh 50 ml inapata haraka tu na kampuni ya Bw Masawe ikiomba mkopo km huo iazungushwa weeeee dakika za mwisho inaambiwa haina sifa za kupata mkopo, japo kampnui zote mbili zinasifa sawa tu?
(5) Kwa nini Serikari ya TZ inaonekana kuzipatia kipaumbele sana kampuni za kigeni kuliko za wazawa?
Ngd zangu ninaomba mchango wenu wa kimawazo ili hatimae tuweze kujibu maswali hayo ufasaha, ninaamini kama tutajibu kwa ufasaha mkubwa basi majibu yetu yatakuwa ni msaada mkubwa sana kwa watu wengine.
Mimi nina amini katika ushirikiano, tukishirikiana kimawazo tutaweza kuboresha kazi zetu za kila siku hatimae kuweza kuinua uchumi wa nchi yetu. PAMOJA TUNAWEZA!
Baada ya kusema hayo ninatoa mchango wangu kwa kuwapatia baadhi ya miongozo mbali mbali ya kuanzisha na kuendesha biashara ambayo ni mkusanyiko wa maada mbali mbali ambazo nimezitoa katika vyanzo mbali mbali. Asanteni
NB ninaruhu kukosolewa kwa nia ya kujenga.asante

Attachments
-
Biashara.docx48.8 KB · Views: 528
-
Choosing a business name.docx16.8 KB · Views: 231
-
COMPANY REGISTRATION...docx18.2 KB · Views: 231
-
Fees Payable...docx13.8 KB · Views: 144
-
guidelines for company and business names approvals.pdf23.8 KB · Views: 163
-
How to operate a Limited Company.docx48.1 KB · Views: 209
-
INDUSTRIAL LICENSING PROCEDURES.docx16.1 KB · Views: 447
-
Limited-Company-Guidance.pdf258.4 KB · Views: 185
-
PATENTS..docx13.2 KB · Views: 105
-
TRADE MARK REGISTRATION..docx15.1 KB · Views: 144
-
Usimamizi wa Miradi.docx329.7 KB · Views: 820
-
Yafuatayo ni sehemu muhimu ya mchanganuo wa biashara.docx25 KB · Views: 656