Mtalebani Mweupe
JF-Expert Member
- Mar 12, 2020
- 547
- 632
Habari Wakuu,
Ninaomba msaada kwa wenye uelewa kwenye Masuala ya Ufunguzi wa kituo cha Radio.
Nina ndoto ya siku nyingi ya kuweza kumiliki kituo cha Radio ila kwa sasa ninataka nijipange ili itapofika Mwishoni mwa mwaka 2022 kama mungu akinijaalia uhai niwe nishafungua hii Radio Station.
Kiuhalisia hii ni ndoto yangu na ninataka kuitimiza, ila kiukweli kabisa sijui pakuanzia (NI MWEUPE) Kuhusu suala la kuanzisha na day to day Operation.
Hivyo nilitaka ufumbuzi juu ya masuala haya hapa chini!
1.Kwa sasa nilitaka kujua vifaa gani vinahitajika kwa kuanzia kwenye operation nzima ya Radio.
2.Gharama Minimum niwe na kiasi Gani?
3.Process zikoje kwa upande wa Serikali kwenye kutoa vibali nk.
4.kama kuna kampuni inayodeal na Installation ya mambo ya Radio pia ntaomba nisaidiwe.
5.Kuhusu wafanyakazi ukiwatoa watangazaji ni fani gani ambayo wanalazimika kuwepo kwenye Operation ya kila siku.
Kama kutakuwa na mengine ya ziada nitaomba muongezee kwa wenye uelewa wenu,
Shukrani.
Chief-Mkwawa Njunwa Wamavoko snipa Mwl.RCT Nyasiro kadoda11