Uanzishwaji wa shirikisho/federation ya wasio na ajira

Blessed Keinerugaba

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2011
Posts
4,754
Reaction score
4,746
shirikisho la wasio na ajira kwa ajili ya kuleta pamoja rasilimali za wasio na ajira kwa ajili ya maendeleo ya shirikisho,TFU(Tanzania Federation of Unemployed),nakarisha mawazo kwa ajili ya huu mchakato.....
 
Nini madhumuni ya shirikisho?

kujenga forum ya kutatua changamoto zetu.mi na tukiwa na umoja tukakusanya mitaji yetu kwa ajili ya maendeleo yetu.mawzo mengine yanakaribishwa ktk forum hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…