Uanzishwaji wa shule.

Uanzishwaji wa shule.

Joined
Sep 25, 2012
Posts
8
Reaction score
0
Ni ndoto yangu kujenga shule maishani mwangu,wadau na wataalamu mbali mbali wenye ufahamu juu ya uanzishwaji wa shule naomba mnijuze nini kina hitajika il kuanzisha au kujenga shule. Ni kiasi gani cha pesa niwe nacho ili kuanzisha shule.
 
We jamaa mbona huwi muwazi,shule zipo za aina nyingi, kindergaten primary au secondary,unalenga watu wa aina gani,kipato cha juu kati au juu
 
Back
Top Bottom