UAPISHO: Rais Samia anawaapisha viongozi mbalimbali aliowateua hivi karibuni, leo Aprili 8, 2026

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
UAPISHO WA VIONGOZI

Rais Samia Suluhu Hassan, atawaapisha viongozi mbalimbali aliowateua hivi karibuni.

Viongozi watakaoapishwa ni:

1. Prof. Palamagamba John Aidan Kabudi (Mb.), Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu);

2. Reuben Nhamanilo Kwagilwa (Mb.), Naibu Waziri, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira); na

3. Dkt. Festo John Dugange (Mb.), Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI (Masuala ya Elimu).

Uapisho wa viongozi wateule utafanyika leo tarehe 08 Aprili, 2026, saa 8:00 mchana, Ikulu Chamwino, mkoani Dodoma.
 
hv s atalizungumzia suala la bi kiziga maana tunahitaj kujua sababu ya kumteaua mtu mwenye makandokando
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…