UAPISHO: Wabunge wawili waliteuliwa na Rais Magufuli Desemba 5, 2020 kuapishwa leo Bungeni

Ohhhhh..... Kuna mtu alisema eti wale wengine waliapia gereji...😂😂
 
Huyo Mama ni mduwanzi Sana. Nakumbuka alikuja bariadi alitutukana Sana watumishi sector ya afya. Ila poa ache liende na litafika kunako.
Aliwatukana au aliwambia ukweli make watumishi wa afya huko wilayani ni miungu watu. Huwa naenda sengerema kule naona wanavyohudumia ukiuliza unaambiwa tuko wachache. Unaweza ukaenda asubuhi kupima malaria ukatoka saa tisa.
 
Asante, hii ni taarifa muhimu, na ni hatua muhimu kabla ya kuapishwa kwa Baraza la Mawaziri ambalo litaapishwa kesho, Ikulu, Chamwino.
P
 
Kila kheri katika hilo

#maendeleo hayana chama
#uvccm taifa
 
Huyo Mama ni mduwanzi Sana. Nakumbuka alikuja bariadi alitutukana Sana watumishi sector ya afya. Ila poa ache liende na litafika kunako.
Mtakuwa mlifanya madudu sana ndo maana aliwatukana ķwa ghadhabu
 
Aliwatukana au aliwambia ukweli make watumishi wa afya huko wilayani ni miungu watu. Huwa naenda sengerema kule naona wanavyohudumia ukiuliza unaambiwa tuko wachache. Unaweza ukaenda asubuhi kupima malaria ukatoka saa tisa.
Halafu wanakuambia unaogopa kukata roho? Roho umepewa bure acha mwenye nayo aichukue.​
 
UAPISHO: Wabunge wawili waliteuliwa na Rais Magufuli Desemba 5, 2020 kuapishwa leo Bungeni.​

Nadhani mada hii ilitaka kubaini 'hap ni kwanini hawa 2 waapishiwe Bungeni , na wale 19 waasi wa chadema waapishiwe kwenye Hema, nje ya Mjengo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…