Uapishwaji wa Rais: Je, kesho ni siku ya mapumziko ya Kitaifa?

Nafaka

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Posts
12,154
Reaction score
31,246
Kesho ni tarehe 5, na ni siku ya kuapishwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Hivi itakuwa ni siku ya mapumziko Kitaifa (Public Holiday) au shughuli zinaendelea kama kawaida?

Ninahitaji kujua kwa anayefahamu tafadhali.
 
Ninawasiwasi na wewe utakua ni miongoni mwa walioforward ujumbe wa zawadi ya 87500 kutoka Vodacom leo 😀
Hapana nimeuliza kwasababu nakumbuka alisema akishinda atafanya siku ya kuapishwa iwe public holiday, nataka tu kuconfirm kuna jambo ninataka kutekeleza.

Halafu mimi ni kati ya wale watu ambao uwa sinaga shobo za umeshinda sijui nini. Sinaga shobo na zawadi za pesa ambazo najua sijashiriki kwenye mchezo wowote.
 
Yes,
Kesho tumeona iwe mapumziko. Karibuni sana Dodoma, though hotel nyingi zimejaa.
 
IMG_2238.jpg
 
Kesho ni tarehe 5, na ni siku ya kuapishwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Hivi itakuwa ni siku ya mapumziko Kitaifa (Public Holiday) au shughuli zinaendelea kama kawaida?

Ninahitaji kujua kwa anayefahamu tafadhali.
Apumzke na mama ake, sisi kapuku hatuwah pumzika .JUA na MVUA nyetu.....nawaombea mvua ya mawe inyeshe,radi ipige, mvua ya upepo isikome hadi VVIP wanyeshewe,wingu litande liwe zito na lenye Giza kuu lenye kutia amani kote,hofu iwaingie wanajeshi wa maonyesho washndwe Fanya lolote,mwsho ihairishwe huuu ushindi feki...F$K
 
Hapana nimeuliza kwasababu nakumbuka alisema akishinda atafanya siku ya kuapishwa iwe public holiday, nataka tu kuconfirm kuna jambo ninataka kutekeleza.

Halafu mimi ni kati ya wale watu ambao uwa sinaga shobo za umeshinda sijui nini. Sinaga shobo na zawadi za pesa ambazo najua sijashiriki kwenye mchezo wowote.
Hana mamlaka yoyote mpaka aapishwe
 
Kesho ni tarehe 5, na ni siku ya kuapishwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Hivi itakuwa ni siku ya mapumziko Kitaifa (Public Holiday) au shughuli zinaendelea kama kawaida?

Ninahitaji kujua kwa anayefahamu tafadhali.
Anaapishwa na kuanza kazi kwa Kishindo, Subiria aape uone Kazi phase II
 
Back
Top Bottom